2014年3月27日星期四

MKWAJU WA PROF JAY NA DIAMOND UNAKUJA SOON, SOMA HAPA


Hapo awali mtu mzima Daddy (Prof. Jay) aliwahi kutoa picha akiwa studio kwa P-funk Majani akiwa pamoja na Diamond Platnumz, katika maelezo ya picha hizo Prof alisema tukae mkao wa kusikiliza "kolabo" kali kati yake na Diamond Platnumz ingawa hakusema jina la wimbo utaitwaje,

Hatimaye Prof. Jay ameachia Official Cover litalohusika katika track yake mpyaaaaa itayokujia hivi karibuni katika masikio yako akiwa kashirikiana na Diamond Platumz.  wimbo uliyoandikwa kwenye Cover hilo unakwenda kwa jina la "KIPI SIJASIKIA
COMING SOON.....................

没有评论:

发表评论