Big Boss wa Maybach Music Group, Rick Ross amefanikisha kwa kiasi kikubwa kupitia albam yake iliyotoka March 4 mkwaka huu, ‘Master Mind’ ambayo imeuza nakala 179,000 na imeshika nafasi ya kwanza kwenye Billboard 200.
Mastermind imeiondoa albam ya Pharell Williams iliyokuwa katika nafasi hiyo ikiwa iliuza nakala 112,000.
Hata hivyo, Mastermind haikuweza kuvunja rekodi ya albam yake iliyopita ‘God Forgives, I Don’t’, kwa mauzo ya wiki moja. God Gorgives, I Don’t iliuza nakala 218,000 na kuwa albam yake iliyouza nakala nyingi zaidi katika wiki ya kwanza
没有评论:
发表评论