Kupitia akaunt yake ya
Instagram Diva Loveness Love mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho
kinachorushwa na Clouds FM ametupia picha ikionyesha vichanga mapacha
waliyokuwa tumboni mwake wamefariki na kumuachia simanzi. Diva aliwahi
kufunguka kuwa mwaka huu anatamani kupata mtoto na kweli alibahatika
kupata mimba aliyopewa na King Crazy GK ambayo alifanya siri kubwa
lakini bahati haikuwa ya kwao na mimba hiyo iliyokuwa na mapacha
kuharibika.
Tazama picha na maneno aliyoshare instagram
--swahilitz
Tazama picha na maneno aliyoshare instagram
a son was Hailey Presley Kaihula and a daughter was Georgia Montana Kaihula... #TheTwins..
Mommy lvs y'all. miss you more and i just love you My babies . RIP ...
❤️..... and today kinda sad coz i miss you even more.. Mngezaliwa
22.6.2014 ... But Mmekwenda... My gifts. My Precious. My babies ����... I
Miss the heartbeat......... the heartbeat .. nitawasahau vipi? mhhh
tell me ...
--swahilitz
没有评论:
发表评论