Amethibitisha ni kweli amefanya video yake mpya London ambapo
aliehusika kama Director ni mshkaji ambae amefanya video kadhaa za
wakubwa wa Afrika kama Azonto ya FUSE ODG, video za caro ya Wizkid na
Davido ‘skelewu’
Hizi zinazofata hapa chini ni baadhi ya pichaz tu za utengenezwaji wa video hii mpya ya Ommy Dimpoz huko London.
Huyu
hapa chini ndio Director mwenyewe anaitwa Moe Musa Mwingereza mwenye
asili ya Nigeria ambae unaambiwa gharama ya video anazozifanya ni
kuanzia dola za kimarekani elfu 20 na kuendelea, kwa haraka haraka ni
zaidi ya milioni 30.
没有评论:
发表评论