Jana (March 26) kampuni hiyo imeongeza ‘features’ za Twitter ambapo mtumiaji anaweza kupost hadi picha 4 katika tweet moja, lakini kwa sasa hiyo inawezekana kwa watumiaji wanaotumia simu aina ya iPhone na baadae itawezekana kwenye aina nyingine za simu za kisasa (androids) na kwenye Twitter.com.
Lakini pia kwa mara ya kwanza watumiaji wa mtandao huo wanaweza kuwatag watu hadi 10 kwenye tweet moja yenye picha.
没有评论:
发表评论