Inasemekana lakini ....Habari kutoka
Segment ya U-Heard ya Sudi Brown wa Clouds FM imehabarisha kuwa Wema na
Diamond Jana walikwaruzana baada ya Wema kuhisi kuwa Diamond anatoka na
Mwanamuziki wa Kenya Victoria kimani ..hii ilitokea Diamond na
Victoria
walipokuwa Studio wakifanya wimbo inasemekana Diamond hakumwaga Bi Wema ,
Wema aliona tu kwenye Instagram kuwa mida hiyo Diamond yupo na Victoria
ndio ikabidi awafungie Safari na kuzua Timbwili la haja , Inaonekana
Wema aliona Wivu baada ya kuwa na Tetesi kuwa Diamond anatoka na
Mwanadada huyu kutoka Kenya....
没有评论:
发表评论