2014年3月25日星期二

MSANII JAGUAR AJAZA WATU ZAIDI YA ELFU 30 KWENYE KIWANJA CHA MPIRA BURUNDI.

 
Ni show ambayo ilifanyika kwenye uwanja wa mpira unaitwa Nyakabiga huko Burundi ambapo staa huyu wa Kenya ameendelea kuvunja rekodi yake ya kupata watu wengi kwenye shows huku hii ya Burundi ikihudhuriwa na zaidi ya elfu 30.

没有评论:

发表评论