Msanii Jose Chameleone wa nchini Uganda, amekabidhiwa rasmi jukumu la kutangaza utalii wa nchini Uganda, hususan vivutio zaidi ya 40 ambavyo vipo huko Busoga nchini Uganda.
.
Chameleone amepewa jukumu hili na Spika wa
Bunge la nchini Uganda, Mheshimiwa Rebecca Kadagaa mbaye amesema kwa nafasi ya
msanii Jose Chameleone kwa sasa katika ngazi ya kitaifa na
kimataifa, ana uhakika kuwa msanii huyu atafanya kazi yenye manufaa makubwa.
Msanii huyu pia amekabidhiwa ubalozi wa shindano maalum la kutangaza utalii la Kupanda Mwamba wa Kagulu katika Mkoa wa Buyende kwa mwaka huu, ambapo watu mbalimbali watashiriki shindano hili siku ya tarehe 9 na 10 mwezi Mei

没有评论:
发表评论