Filamu aliyoigiza Wema Sepetu kama
mhusika mkuu iliyopewa jina la Madame (Our Own Crazy Bosy Lady) iliyotayarishwa
na kampuni ya Simulizi African Entertainment itaingia sokoni leo (March 27).
Filamu hiyo imewasusisha waigizaji
wengine kama Simon Mwapagata aka Rado, Maulid Ally, Sudi Ally na Deogratius
Shija.
没有评论:
发表评论