Siku kadhaa
baada ya kusambaa wimbo ulioaminika kuwa ni wa Ali Kiba ukiwa na jina la Rosa,
mwimbaji huyo ameukana wimbo huo na kudai hafahamu lolote kuhusu wimbo huo na
hata hajawahi kuusikia.
“Nyimbo zipo lakini sija release nyimbo, sijatoa nyimbo so far na sijui nani ameimba na sijawahi hata kuusikia.” Amesema Ali Kiba.
Mwimbaji huyo ameongeza kuwa watu wameona yuko kimya na wameamua kutoa wimbo kwa jina lake kitu ambacho hakina mantiki na kwamba anadhani watu hao wamefanya makusudi au wametumia sayansi ya sauti ku-fake sauti yake.
Amesema hajui lengo la mtu aliyefanya, “I think ni trick moja ambayo imefanywa sielewi na nani lakini I don’t know if in a good way or bad way”.
Ameiweka positively pia kuwa huenda aliyeiimba ni mtu anaemkubali yeye kama role model wake.

没有评论:
发表评论