Tanzania kuna baadhi ya wasanii wanaimba huku wazazi wao wanafanya kazi hiyo ya muziki kwa mfano Banana zoro na baba yake;Dully sykes na baba yake ;Ochu na wengineo, ndio imetokea hivyo pia kwa rapper Nicki Minaj wa
Young Money ambapo mama yake mzazi nae ameanza kuimba.
Inawezekana alianza kuimba siku nyingi ila kwa sasa ndio imetambulika
rasmi kupitia vyombo vya habari kwamba mama huyu anaimba, muziki
anaoimba ni wa Injili na si kama wa mwanae nick minaj
没有评论:
发表评论