Rapper Rick Ross
yuko mbioni kuachia Album yake mpya ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu
na mashabiki wake toka mwaka 2013, Album hiyo inayokwenda kwa jina la Master Mind itaachiwa rasmi leo tarehe 4 March chini ya Maybach Music Group (MMG). Rozay alianza kutoa singles kadhaa kama utambulisho wa ujio wa album ya mpya.. Single hizo ni kama Box Chevy, The Devil Is A lie, War Ready, No game, aliyomshirikisha Future, No body Ft. French Montana,Diddy iliyotoka tarehe 27th February.
没有评论:
发表评论