TAZAMA BAADHI YA PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA TUMMOGHELE YA IZZO B.
Audio ya tummoghele wimbo mpya wa izzo b unafanya poa
kwenye radio, na ni picha 3 za maandalizi ya video ya ngoma hiyo.
E media ndio wamepata dili ya kutengeneza video hiyo ya tummoghele
pia T shirt za tummoghele zipo tayari
没有评论:
发表评论